Class Inward Session

Hindsight be my teacher again. What is my lesson? Asking God got me silence and since sinning is already done, hindsight teach me my path.

Utamu ya kukujua ni?
   Kama hunige kitu nakutakia nini?
      Ati niweze kuona mbele?
         Ya nini kaa naona nyuma poa?

Foresight be my leader afresh. What is my course? Asking friends got me noise and now neglect is already done, foresight lead my way.

Ujanja ya kukupata ni?
   Kama hunishow kitu nakufuatia nini?
      Ati niweze kujitoa noma?
         Ya nini kaa haitaniokoa?

Patience be my guide once more. What is my subject? Asking my mind got me confused and cutting corners is already done, patience guide my step.

Ufala ya kujijua ni
   Kama sigain kitu kutoka ndani?
      Ati niweze kutulia akili
         Ya nini kaa haileti shangwe?

And since you are jana, patience and kesho
Love me with your truth
Tell me to be okay
Like you spoke light to being and I will be